Nebulizer: Ufanyaji kazi na matumizi
Nebulizer ni kifaa kinachotumika kupeleka dawa katika mapafu. Kama una ugonjwa wenye kuleta shida ya kupumua, daktari wako anaweza kukushauri kutumia nebulizer…
Nebulizer ni kifaa kinachotumika kupeleka dawa katika mapafu. Kama una ugonjwa wenye kuleta shida ya kupumua, daktari wako anaweza kukushauri kutumia nebulizer…
Wengi wanafariki na kupata ulemavu duniani kila siku kwa sababu ya shinikizo la damu la juu. Shinikizo la damu linasababisha kiharusi, magonjwa ya moyo na figo kwa uchache. Ukisoma makala hii utafahamu kuhusu ugonjwa huu, tiba na namna ya kujikinga na madhara. Soma zaidi
Unaweza kushusha presha na kuidhibiti. Fahamu siri iliyothibitishwa na tafiti mbalimbali kushusha presha yako
Mazoezi yana umuhimu mkubwa katika kuzuia na kudhibiti shinikizo la juu la damu (Presha)
Hatahivyo, ni MUHIMU kutambua ni mazoezi gani, yafanywe kwa muda gani na tahadhari za kuchukuwa wakati unachagua aina ya mazoezi ya kufanya kulingana na hali yako ya presha.
Epuka madhara ya presha kama vile kiharusi, shambulio la moyo na figo kufeli kwa kufanya vipimo hivi muhimu vya mwanzo. Tafadhali bonyeza link kuvifahamu zaidi
Vipimo Muhimu kwa Mgonjwa wa Presha – Shinikizo la Juu La Damu Read Post »
IMHOTEP WAS A COMMONER BY BIRTH WHO ADVANCED TO THE POSITION OF ONE OF THE MOST IMPORTANT AND INFLUENTIAL MEN IN EGYPT THROUGH HIS NATURAL TALENTS.
Imhotep was practicing medicine and writing on the subject 2,200 years before Hippocrates, the Father of Modern Medicine, was born.
Imhotep’s influence in life was justifiably strong, growing even stronger after death. So much so that 2,000 years later his status was ultimately elevated to that of a deity of medicine, with his cult centered in Memphis, the capital of ancient Egypt.
Imhotep: The real father of medicine? An iconoclastic view Read Post »
🎉Heri ya Siku ya Wanawake 🎆 🤝Ikiwa una nia ya kufahamu alama muhimu za ujauzito, unaweza kufanya hivyo kupitia gurudumu
Tumeshafahamu kwamba ni muhimu kila mtu kuchukua tahadhari na maambukizi ya Corona. Tumefahamu kwamba kinga mojawapo ni barakoa. Wengi wamekuwa wakitengeneza nyumbani barakoa zao. Je, unafahamu namna ya kutengeneza barakoa itakayokukinga?
Soma hapa kufahamu zaidi
AFYATech tunasaidia wanafunzi wa fani za Afya Kupata vifaa tiba bora kwa bei nafuu. Sasa unaweza kuchagua vifaa vitakavyotengeneza set medical set yako kwa BEI pooooa!