fbpx

Utumie aina gani ya kipimo cha presha?

Umuhimu wa kupima presha ni upi? Ni kipimo gani cha presha ambacho ni sahihi zaidi? Je, nipime shinikizo la damu kwenye mkono wangu juu au kwenye kiganja cha mkono? Kupima shinikizo la damu ndiyo njia pekee ya kufahamu kama una shinikizo la juu la damu – presha. Kufuatilia shinikizo la damu kunaweza kukuchochea kutunza afya

Read More »

Presha na Kisukari: Uliza Ujibiwe

Ungependa kufahamu kwanini presha huitwa muuaji wa kimya kimya au kufahamu namna ya kujikinga? Tafadhali soma maswali haya?Presha inaua kimya kimya na kusababisha vilema vya maisha ukiachilia mbali kusababisha umasikini.

Read More »

Uwiano Wa Uzito Na Urefu-BMI

Kama unafanya jitihada kuboresha afya yako kwa kupunguza uzito, ningependaa nikupe ushauri maalum ili ufanikiwe. Kama unajipima mara kwa mara uzito, unafanya vizuri. Lakini, kuzingatia uzito peke yake haitoshi. Ndiyo, haitoshi!. Unahitaji kuzingatia uwiano wako wa uzito na urefu (BMI kwa kimombo). Uwaiano wa uzito na urefu (BMI) ni nini? BMI ni makadirio ya mafuta

Read More »

Uhusiano wa Presha na Kisukari

Watu wengi walio na ugonjwa wa sukari mwishowe watakuwa na shinikizo la damu, pamoja na shida zingine za moyo na mishipa ya damu.

Fahamu sababu na namna ya kuepuka hali hii.

Read More »

Shinikizo La Damu La Juu – Presha

Wengi wanafariki na kupata ulemavu duniani kila siku kwa sababu ya shinikizo la damu la juu. Shinikizo la damu linasababisha kiharusi, magonjwa ya moyo na figo kwa uchache. Ukisoma makala hii utafahamu kuhusu ugonjwa huu, tiba na namna ya kujikinga na madhara. Soma zaidi

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Shinikizo la damu?
Mimi ni Dr. Adinan