fbpx

Njia 4 za kuepuka magonjwa ya figo

Kwanini tujadili kuhusu ugonjwa wa figo? Magonjwa ya figo yameongezeka kwa kasi sana duniani. Kunasababu nyingi zinazopelekea magonjwa hayo lakini kisukari na shinikizo la damu yanaongoza.Magonjwa yasiyoambukiza hasa kisukari na shinikizo la damu yanasababisha kwa kiasi kikubwa magonjwa ya figo. Sukari ikiwa nyingi kwenye damu husababisha mishipa midogo ya damu kwenye figo kuharibika na kupelekea

Read More »

kipimo cha presha kifaa 1 kitakachokupa amani

Kipimo Cha Presha: Kifaa 1 Kitakachokupa Amani Kufika hapa maana yake ushafahamu kwamba hata wewe inawezekana una shinikizo la juu la damu (presha) bila kujua. Pia umeshafahamu kwamba kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha): kujipima tu! Bila shaka umeshuhudia watu wengin wakifariki kutokana na shinikizo la damu

Read More »

Dhibiti Kisukari Na Presha: Vifaa 3 Muhimu Kuwa Navyo Nyumbani

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha) na kisukari kwasababu magonjwa haya yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. 🤔

Read More »

Dhibiti Kisukari Na Presha: Kuwa na Amani Kwa Kuwa na Vifaa 2 Muhimu

Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) na kisukari: kujipima tu! Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha) na kisukari kwasababu magonjwa haya yanaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili. Hivyo wengi wamekuwa wakishtukizwa na kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. 🤔

Read More »

Faida 5 za kuweka oda yako kwenye website yetu

Fikiri uko kwenye mapumziko ya weekend unakumbuka unahitaji kifaa fulani, unapanga kwenda kukifuata dukani mara mvua nayo inaanza…au umekumbuka kuhusu kifaa hich ukiwa unajivinjari sehemu…Sasa tunakuambia, endelea na mapumziko yako au kazi zako! Huduma zetu zimekufuata ulipo. Naam! Kwa kutumia website yetu sasa unaweza kupata huduma zote muhimu na faida juu.  Lakini nitanabahishe kwamba hata

Read More »

Imhotep: The real father of medicine? An iconoclastic view

IMHOTEP WAS A COMMONER BY BIRTH WHO ADVANCED TO THE POSITION OF ONE OF THE MOST IMPORTANT AND INFLUENTIAL MEN IN EGYPT THROUGH HIS NATURAL TALENTS.

Imhotep was practicing medicine and writing on the subject 2,200 years before Hippocrates, the Father of Modern Medicine, was born.

Imhotep’s influence in life was justifiably strong, growing even

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Uncategorized?
Mimi ni Dr. Adinan