Katika utafiti huu uliokuwa na watu 588 wenye ugonjwa wa kisukari aina ya 2 ambao hawakuwahi kutumia insulin, Matokeo ya utafiti kulinganisha ufanisi wa kupunguza sukari mwilini (hemoglobin A1c [HbA1c]) kati ya insulini ya icodec mara moja kwa wiki na insulini ya degludec mara moja kwa siku yamechapishwa.
Matokeo haya yanathibitisha ufanisi wa matibabu ya insulini ya icodec mara moja kwa wiki kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari aina ya 2 ambao hawakuwahi kutumia insulin hapo awali.
Soma zaidi utafiti huu hapa kwenye jarida la JAMA