Kulala kwa muda mfupi wakati wa mchana kunaweza kusaidia kulinda afya ya ubongo wakati unapozeeka, wanasayansi wamependekeza baada ya kugundua kwamba mazoea haya yanahusishwa na ukubwa wa ubongo.
Kulala muda marefu kunahusishwa na ugonjwa wa Alzheimer’s, utafiti mwingine umebaini kuwa kulala kwa muda mfupi kunaweza kuongeza uwezo wa watu kujifunza mambo mapya.
Sasa wanasayansi wanasema wamegundua ushahidi unaopendekeza kwamba kupumzika kunaweza kusaidia kulinda dhidi ya kupungua kwa ukubwa wa ubongo kadri unavyozeeka.
Utafiti wa UCL na Chuo Kikuu cha Jamhuri ya Uruguay. Unaweza kusoma zaidi HAPA
Picha kwa Hisanai ya USASK
Vipi unajiona ukianza kulala mchana? Tuachie maoni yako!
SAIDIA WENGINE
- Tutafurahi kusikia maswali au maoni yako kuhusu makala haya. Tafadhali tuandikie hapo chini.
- Tafadhali Like na Kusambaza Ujumbe Huu Kwa Watu Unaofikiri Watanufaika na Ujumbe Huu.