Patella Hammer – Babinski ni kifaa kinachotumiwa kupima mfumo wa mishipa ya fahamu. Unapokuwa na Babinski patella hammer utaweza kupima mishipa ya mgonjwa wako haswa watoto bila kuingiza hofu ya maumivu. Kwasababu Babinski patella hammer ni ya chuma, nyepesi na imara:
Patella hammer ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
Faida Unayopata utakaponunua kwetu ni kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Reviews
There are no reviews yet.