Shusha Presha: Epuka Madhara. Furahia Maisha.
PreshaPlan ni suluhisho kamili kwa kudhibiti presha yako na kuboresha afya kwa njia rahisi na yenye ufanisi. Pata huduma bora na za kitaalamu kupitia mipango yetu mbalimbali inayokidhi mahitaji yako.
PreshaPlan Furahia: TSh. 79,900/= kwa Mwaka
Maelezo ya Bidhaa: PreshaPlan Furahia inatoa huduma kamili za kudhibiti presha yako na kuhakikisha unaishi maisha yenye furaha na afya bora. Mpango huu unajumuisha:
- Huduma za Fanya: Huduma zote zinazopatikana katika mpango wa Fanya.
- Kitabu cha Afya: Kitabu kitakachokufundisha nini cha kula na jinsi ya kuchanganya vyakula bila kupandisha sukari.
- Vipimo Nyumbani: Kuletewa vipimo ulivyoagiza moja kwa moja ulipo.
- Punguzo la Bei: Punguzo la bei ya glucose strips na vifaa vingine vya afya popote utakapokuwa.
Mpango huu ni bora kwa wale wanaotaka kuhakikisha wanadhibiti presha yao kikamilifu kwa mwaka mzima. Bonyeza hapa kujisajili: Shusha Presha Plan
Reviews
There are no reviews yet.