Ongeza ufanisi na umaridadi katika kazi yako. Mtoe mgonjwa wako damu ya kipimo kwa kutumia torniquet yenye ubora. Kifaa hichi kilichotengenezwa kwa elastic imara chenye kudumu kwa muda mrefu kitakuwezesha kufikia lengo lako la kupata sampuli mahususi.
Matumizi: Kifaa hichi ni kwa matumizi ya hospitali na ni kifaa muhimu kwa wanafunzi wa kozi za afya.
Reviews
There are no reviews yet.