Vipimo Muhimu Kwa Mgonjwa wa Kisukari
Kisukari kinasababisha vifo na ulemavu kwa watu wengi. Kwa kufanya vipimo hivi, unaweza kudhibiti Kisukari na kuepuka madhara yake kwa kuifanyia tathmini afya yako na kuchukua hatua stahiki mapema. Tafadhali soma kufahamu vipimo muhimu