Kipimo Cha Presha – Kiganjani – BII

5/5

Tatizo tunalo kusaidia kutatua: Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha). Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk. Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, presha, unaitwa muuaji wa kimya-kimya kwa kuwa wengi wamefariki kutokana na ugonjwa huu huku wengi wao hawakufahamu kama walikuwa wakiugua. Presha ni ugonjwa unaotibika kama ukitambulika mapema.

Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema. Kwa kukupatia kipimo bora unachoweza kutumia kujipima mwenyewe presha ukiwa nyumbani

Kwanini Unakihitaji?:    Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!

 

Kazi yake: Hichi ni kifaa kitakachoweza kukuhakikishia hali yako ya Afya kuhusiana na presha  NA kukusaidia kutambua kwa haraka  kama unashinikizo la juu la damu na HIVYO KUKUSAIDIA kupata tiba ya haraka yenye matokeo mazuri

Matumizi: Hii ni mashine ambayo utaitumia kupima presha ukiwa nyumbani. Ukinunua kutoka kwetu tutakupa maelekezo ya namna bora utaweza kuitumia hii mashine kuweza kupata matokeo ya kiafya unayoyatarajia

Faida: Ukiwa nayo na kuitumia utaepuka presha na matatizo yote yatokanayo na presha: kiharushi, ugonjwa wa moyo, figo nk.

Mashine yenyewe imetengenezwa kukupa faida zifuatazo:

    1. hutokuwa na hofu kuhusu presha yako – utaweza kuifuatilia mwenyewe ukiwa nyumbani
    2. Ni rahisi kutumia, utaifunga/vaa kama saa
    3. Wewe na familia yako mnaweza kutumia
    4. Utaweza kurekodi vipimo vingi kuweka kumbukumbu

Sh 149,000.0

Availability: In stock

Shinikizo la damu la juu – presha limegharimu maisha ya watu wengi kwa kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata kiharusi, matatizo ya moyo, figo na kutokuona nk.Kipimo cha presha kama saa kitakufahamaisha presha yako kwa uhakika na kwa urahiiisi kabisa.

Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu, presha, unaitwa muuaji wa kimya-kimya kwa kuwa wengi wamefariki kutokana na ugonjwa huu huku wengi wao hawakufahamu kama walikuwa wakiugua. Presha ni ugonjwa unaotibika kama ukitambulika mapema.

Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema. Kwa kukupatia kipimo bora unachoweza kutumia kujipima mwenyewe presha ukiwa nyumbani

Kwanini Unakihitaji?:    Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kipimo Cha Presha – Kiganjani – BII”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Kipimo Cha Presha – Kiganjani – BII leo. Nini ungependa kuuliza?