Shusha Presha: Epuka Madhara. Furahia Maisha.
PreshaPlan ni suluhisho kamili kwa kudhibiti presha yako na kuboresha afya kwa njia rahisi na yenye ufanisi. Pata huduma bora na za kitaalamu kupitia mipango yetu mbalimbali inayokidhi mahitaji yako. Chagua mpango unaokufaa kutoka kwenye orodha yetu:
1. PreshaPlan Fahamu: TSh. 29,900/= kwa Mwaka
Maelezo ya Bidhaa: Pata huduma za msingi zinazokusaidia kudhibiti presha yako na kuishi maisha yenye afya bora. Mpango huu unajumuisha:
- Ushauri wa Wiki: Pata ushauri wa kitaalamu kwa simu au ujumbe wa WhatsApp.
- Jukwaa la Mtandaoni: Jiunge na jukwaa letu la mtandaoni kujadili na kubadilishana mawazo na wengine.
- Makala na Rasilimali: Soma makala zote muhimu kuhusu presha na magonjwa mengine kwenye tovuti ya AFYATech.
- Vipimo vya Bei Nafuu: Pata vipimo muhimu kufuatilia na kudhibiti presha yako kwa bei ya punguzo.
Jiunge sasa na uanze safari yako ya afya bora kwa bei nafuu. Bonyeza hapa kujisajili: Shusha Presha Plan
Reviews
There are no reviews yet.