Dalili za Kisukari Hatari Unazohitaji Kuzifahamu!
Ukiziona dalili hizi za kisukari chukua hatua stahiki haraka kwani uhai wako uko hatarini.
Ukiziona dalili hizi za kisukari chukua hatua stahiki haraka kwani uhai wako uko hatarini.
Fahamu vinywaji bora kwa mgonjwa wa kisukari vinavyosaidia kudhibiti sukari kwenye damu. Soma zaidi tafadhali
Sio protini zote zinazofaa kwa mgonjwa wa kisukari. Kwenye makala haya ya protini na kisukari tunakufundisha jinsi ya kuchagua protini bora kwa afya yako.
Je! Unajua kisukari kinaweza kuathiri afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake? Kujifunza zaidi juu ya athari hizi na jinsi ya kudhibiti kisukari kwa afya bora ya uzazi.
Soma zaidi kufahamu: #Kisukari kinaweza kuathiri #afya ya #azani ya mwanaume na mwanamke. Fahamu athari hizi na namna ya kuziepuka. https://afyatechtz.com/athari-kisukari-kwenye-afya-uzazi-mwanaume-mwanamke/
@wizara_afyatz @mohznz1 @AdinanJKA
Kisukari kinaweza kuwepo bila kuonesha dalili. Lakini watafiti wamekuja na list ya magonjwa ambayo huashiria kuwa na kisukari siku za usoni. Fahamu zaidi
Mama mwenye kisukari unahitajika kunyonyesha kutokana na faida nyingi kwako na kwa mtoto wako. Moja ya faida hizi ni kupunguza hatari ya magonjwa. Hatahivyo unaponyonyesha kiwango cha sukari kwenye damu hubadilika hivyo kuhitaji wewe kuwa na uelewa sahihi ili kuweza kulinda afya yako na ya mtoto wako. Tafadhali soma zaidi
Epuka figo kufeli kunakosababishwa na kisukari na shinikizo la juu la damu kwa kufahamu jambo 1 muhimu. Usingoje hadi kuchelewa sana! Anza kulinda afya yako leo. Fahamu zaidi
Vyakula huathiri vipi ugonjwa wa kisukari? Aina ya chakula unachokula kinaweza kuathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako. Vyakula vingine huongeza kiwango cha sukari kwenye damu haraka hivyo inabidi upunguze au uviepuke. Kuna vyakula vingine ambavyo huongeza kiwango cha sukari kwenye damu yako taratibu, hivi inabidili uvile kwa uangalifu. Na, kuna vyakula
Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko mdomoni hutumia sukari hii kama chakula. Kwa hiyo bakteria hukuwa na kustawi zaidi katika mazingira yenye sukari. Bakteria hawa husababisha meno kuoza na kutoboka. Na kama hujapata tiba haraka unaweza
Ugonjwa wa kisukari husababisha ugonjwa wa figo kwa namna mbili na kusababisha figo kufeli. Unaweza usihisi dalili mpaka pale madhara yanapokuwa makubwa. Hatahivyo, unaweza kuepuka madhara yote haya. Tafadhali soma kufahamu zaidi…