Ukiwa Tayari! Namna 3 Tunasaidia kuwa na uzazi salama
AFYAPlan uzazi salama inakuwezesha Kudhibiti na kuepuka madhara ya magonjwa: Ungana na Daktari wako kwa msaada na mwongozo binafsi Kuhusu dawa, VIPIMO, maarifa na ujuzi kukuwezesha kuwa na uzazi salama, tena ukiwa nyumbani. Bonyeza HAPA kujiunga grupu letu.
Vitabu vya Elimu vinavyokuwezesha kufanya Maamuzi sahihi kuboresha afya yako. Mfano kudhibiti shinikizo la damu na kisukari huku ukila Vyakula unavyovipenda. Bonyeza HAPAkufahamu zaidi
Vipimo muhimu mama mjamzito kuwa navyo Nyumbani vinavyokupa amani na uhakika wa afya yako muda wote. Bonyeza HAPA kuvifahamu.
Uko tayari kuboresha AFYA Yako? Tuwasiliane
Dr. Adinan J. MD. MSc. FDHS. FFogarty
Daktari mtafiti na mkufunzi katika vyuo vya Afya nje na ndani ya nchi.