Professional Delux Stethoscope

5/5

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Toa huduma bora kwa mteja wako unapotumia professional delux stethoscope. Unapokuwa na professional Stethoscopes utasikia na utatambua tatizo la mgonjwa wako haraka na kwa usahihi kama stethoscope zingine zinazojulikana duniani. Professional stethoscope imeboreshwa kuweza kung’amua sauti hata kama ni za chini sana.

𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscopes hutumika kachunguza na kubaini magonjwa haswa kwenye moyo na mapafu kwa kusikiliza sauti maalum zitolewazo kutokana na tatizo lililopo. Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢  kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia:

𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Sh 60,000.0

Availability: In stock

SKU HES-SP-D-Steth-Prof Categories , ,

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Professional Delux Stethoscope”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Professional Delux Stethoscope leo. Nini ungependa kuuliza?