Be the first to review “Tripple-head Stethoscope” Cancel reply
Tripple-head Stethoscope
★★★★★ 5/5
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚: Unaweza kuwahudumia watoto na watu wazima, unapokuwa na Tripple-head Stethoscope (Stethoscopes ya vichwa vitatu!) Huhitaji Tena Stethoscopes mbili tofauti wakati unamtibu mtoto au mtu mzima.
𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐳𝐢: Stethoscope ni miongoni mwa vifaa muhimu vya mafunzo kwa mwanafunzi wa kozi za afya kama vile physiotherapy, clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.
𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 kutokuwa na hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Namna ya kutumia:
𝐍𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.
Sh 80,000.0
Availability: In stock
SKU
ST05
Categories Stethoscope, Students Items, Students Kit
Reviews
There are no reviews yet.