AFYA-Nyumbani-Kit – Vifaatiba muhimu kuwa navyo nyumbani

5/5

𝐔𝐬𝐢𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐜𝐡𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚: 𝐖𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨

Kama uliwahi kuugua unatambua thamani ya afya bora na umuhimu wa kulinda afya yako kwa kuifuatilia.

Fahamu, kudhibiti magonjwa hukuepusha na gharama kubwa ya kutibu. Usisubiri ukuchelewa – fuatilia afya yako sasa. Fahamu afya yako, boresha na ufurahie maisha. 

Ni njia gani bora ya kuweza kufuatilia afya yako mara kwa mara zaidi ya kuwa na vifaatiba kwa matumizi ya nyumbani?

Kwakujali afya yako tunakupatia vifaa hivi kwa bei ya offer, lakini kwanza fahamu orodha ya vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani kutoka kwa daktari wetu aliyebobea na vilivyothibitishwa kwa utafiti.

Bonyeza IPATE LEO hapo Juu!

Sh 519,000.0

Original price was: Sh 149,000.0.Current price is: Sh 119,000.0.

Availability: In stock

Sh 50,000.0

Availability: In stock

Original price was: Sh 60,000.0.Current price is: Sh 53,900.0.

Availability: In stock

Sh 14,900.0

Availability: In stock

Original price was: Sh 79,000.0.Current price is: Sh 54,900.0.
Sh 19,000.0
Sh 19,900.0

Availability: In stock

Sh 148,000.0

Availability: In stock

SKU HES-P-D-SET-D8 Category Tags ,
AFYA nyumbani ni mpango wa AFYATech kukuunga mkono katika kuboresha afya yako. Tunakuwezesha kufuatilia afya yako ukiwa nyumbani. Si lazima uende hospitali ili kufahamu hali yako ya afya ya msingi. Tunachofanya ni kuboresha juhudi zako za kuwa na afya bora. Tunakupatia vifaa 8 unavyoweza kutumia kutambua, kufuatilia magonjwa na hivyo kuweza kuyadhibiti na kuepuka madhara ya magonjwa haya. 
𝐔𝐬𝐢𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐜𝐡𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚: 𝐖𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 Ikiwa wewe au mpendwa wako amegunduliwa na ugonjwa, unajua umuhimu wa kufuatilia afya yako mara kwa mara. Na ni njia gani bora ya kufanya hivyo kuliko kuwa na vifaatiba kwa matumizi ya nyumbani?
 
Kwakujali afya yako nakupatia vifaa hivi kwa bei ya offer, lakini kwanza fahamu orodha ya vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani
 

1.Kipima joto 𝐭𝐡𝐞𝐫𝐦𝐨𝐦𝐞𝐭𝐞𝐫 ni kifaa cha kawaida lakini muhimu cha matibabu kwa matumizi ya nyumbani. Inakuwezesha kufuatilia joto la mwili wako. Joto linaweza kuwa kiashiria cha mapema cha ugonjwa.

2. Kifaa cha pili ambacho ni -Muhimu sana kukaribia- LAZIMA kuwa nacho nyumbani ni kipimo cha 𝐬𝐡𝐢𝐧𝐢𝐤𝐢𝐳𝐨 𝐥𝐚 𝐝𝐚𝐦𝐮, . Shinikizo la damu linaweza kuwa muuaji wa kimyakimya, na ufuatiliaji wa mara kwa mara unaweza kusaidia kuzuia matatizo kama vile mashambulizi ya moyo na kiharusi.

3. Kifaa cha tatu kwa UMUHIMU ni kipimo cha kiwango cha sukari kwenye damu – 𝐠𝐥𝐮𝐜𝐨𝐦𝐞𝐭𝐞𝐫. Umuhimu wa kifaa hichi unaonekana pale mtu anapopoteza nguvu ghafla, kizunguzungu au kupoteza fahamu. Kitu cha kwanza kufikiri ni kwamba mtu huyo kapungukiwa sukari. Kumbuka mtu hupoteza maisha au kupata ulemavu wa kudumu sukari ikiwa chini ndani ya muda mfupi. Hivyo unaweza kuokoa maisha kwa kuwa na kipimo cha kisukari.

Ikiwa una kisukari, glucometer ni kipimo cha lazima kuwa nacho. Kufuatilia viwango vya sukari yako ya damu mara kwa mara kunaweza kusaidia kuzuia madhara kama vile uharibifu wa mishipa ya fahamu, ugonjwa wa figo, na upofu. Ukiwa na glukometa, unaweza kuangalia viwango vya sukari ya damu kwa urahisi na haraka nyumbani na kufanya marekebisho kwenye lishe yako na dawa inapohitajika.

4. Kifaa cha nne kinasaidia sana wagonjwa wa kisukari kuepuka ulemavu. Wagonjwa wa kisukari husababishiwa ulemavu na vidonda sugu. Ni muhimu kufahamu kama uko kwenye hatari ili kuchukua hatua stahiki kuepuka vidionda. Monofilament inasaidia maelfu ya wagonjwa wa kisukari kuepuka vidonda miguuni.

5&6. Kipimo cha uzito, 𝐦𝐢𝐳𝐚𝐧𝐢 na kikotoo cha BMI inakuwezesha kufuatilia uzito wako mara kwa mara na kukusaidia kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kufuatilia maendeleo yako ikiwa unajaribu kupunguza uzito.

7. Kifaa kinachokupa nafuu haraka ya ugonjwa wa kupumua kama pumua– Nebulizer. Nebulizer inakusaidia kupata nafuu ya haraka na kuepuka madhara ya kupungukiwa na hewa safi ya oxygen. Kinafanya kazi kwa kupeleka dawa moja kwa moja kwenye mapafu.

8. Hatimaye, ni kifaa ambacho hupima kiwango cha hewa safi kwenye damu – oksijeni. , 𝐩𝐮𝐥𝐬𝐞 𝐨𝐱𝐢𝐦𝐞𝐭𝐞𝐫 ni kifaa muhimu kwa wale walio na ugonjwa katika mfumo wakupumua, pamoja na wengine ambao wanataka kufuatilia viwango vyao vya oksijeni wakati wa mazoezi.

Fahamu, mtu yeyote ambaye anataka kufuatilia afya yake, kudhibiti magonjwa na kuepuka gharama kubwa kutibu madhara ya magonjwa inabidi awe na vifaatiba kwa matumizi ya nyumbani.
 
Usisubiri hadi kuchelewa – wekeza kwenye afya yako kwa kupata vifaatiba muhimu kuwa navyo nyumbani kwa bei ya OFFER leo.
Kawaida ungevipata kwa TSh. 519,800 ila wakati huu wa offer tunakupatia kwa 444,900/=.
Bonyeza IPATE LEO hapo chini

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “AFYA-Nyumbani-Kit – Vifaatiba muhimu kuwa navyo nyumbani”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata AFYA-Nyumbani-Kit – Vifaatiba muhimu kuwa navyo nyumbani leo. Nini ungependa kuuliza?